Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 421 | Umetazamwa mara 1,609
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Ee bwana (Ee Bwana) unisaidie himax2
Maimbilizi
1. Nalimngoja Bwana kwa saburi, akaniinamia akakisikia kilio changu.
2. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, toka udongo wa utelezi, akaisimamisha miguu yangu mwambani, akaziimarisha hatua zangu
3. Akatia wimbo wimbo mpya kinywani mwangu, ndio sifa zake Mungu wetu, wengi wataona wataona na kuogopa nao watamtumaini Bwana.
4. Nami maskini maskini na mhitaji, Bwana Bwana atanitunza, ndiwe msaada wangu na wokovu wangu, Ee Mungu Mungu usikawie.