Ingia / Jisajili

Ulete Mkono Wako

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pasaka

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 73 | Umetazamwa mara 97

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ULETE MKONO WAKO Kiitikio Ulete mkono wako uutie ubavuni mwangu x2 Wala usiwe asiyamini bali aaminiye aleluya x2 1. Thomaso akajibu akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu 2. Yesu akamwambia wewe kwa kuwa umeniona umesadiki, waheri wale wasioona wakasadiki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa