Ingia / Jisajili

Ee Bwana Usiniache

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 7,441 | Umetazamwa mara 14,793

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana usiniache, usijitenge nami, fanya haraka kunisaidia x 2

  1. Wewe Bwana wokovu wangu, naungama uovu wangu, dhambi zangu mimi zanisikitisha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa