Ingia / Jisajili

Bwana Mungu Amepaa (Katikati Kupaa Kwa Bwana)

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,750 | Umetazamwa mara 12,283

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana Mungu amepaa kwa kelele za shagwe
(Bwana kwa sauti ya baragumu Aleluya) x 2

  1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe.
     
  2. Kwa kuwa Bwana aliye juu, ni mwenye kuogofya ndiye Mfalme wa dunia yote.
     
  3. Mwimbieni Mungu naam imbeni, muimbieni Mfalme wetu naam imbeni kwa akili.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa