Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda Vitu Vyote

Mtunzi: Felician Luhenga
> Mfahamu Zaidi Felician Luhenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Luhenga

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo

Umepakiwa na: Felician Luhenga

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 13

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana, wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo, wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba. 1. Unawasamehe watu dhambi zao,ili wapate kutubu. 2. Unatuhurumia makosa yetu, kwa kuwa ni Bwana Mungu wetu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa