Ingia / Jisajili

Utushibishe Kwa Fadhili Zako

Mtunzi: Felician Luhenga
> Mfahamu Zaidi Felician Luhenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Luhenga

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Felician Luhenga

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 5

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 28 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Utushibishe kwa fadhili zako ili tufurahi. 1. Utujulishe kuzihesabu siku zetu,Tujipatie moyo wa hekima. Ee, Bwana, urudi hata lini? Uwahurumie watu wako. 2. Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, Nasi, tutashangilia na kufurahi siku zetu zote, Utufurahishe kwa kadri ya siku ulizotutesa. Kama miaka ile tuliyoona mabaya. Matendo yako yaonekane kwa watumishi wako, Na adhama yako kwa watoto wao. Na uzuri wa Bwana, Mungu wetu, uwe juu yetu, Naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa