Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda

Mtunzi: Fanikio Joseph Lindi
> Mfahamu Zaidi Fanikio Joseph Lindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fanikio Joseph Lindi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,182 | Umetazamwa mara 3,062

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo, wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba x 2

Mashairi:

  1. Unawasamehe watu dhambi zao kwa ajili ya kufanya kitubio, na kuwahurumia kwa kuwa ndiwe Mungu wetu.
     
  2. Wewe umeruhusu vitu vyote viwepo, Ee Bwana Mungu maana ni vyako, nawe unavipenda vitu vyote vilivyo hai.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa