Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 11,117 | Umetazamwa mara 15,936
Download NotaEe Bwana yote uliyotutendea, Umeyatenda kwa haki *2
1. Kwakuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako
2. Ulitukuze jina lako nakututendea sawa sawa na wingi wa huruma yako