Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ikupendeze

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 24,310 | Umetazamwa mara 34,375

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Ee Bwana ikupendeze, ikupendeze sadaka ya sikukuu hii ya leo x 2
Sadaka hii ndiyo fidia timilifu, ya kutupatanisha na wewe Mungu baba
Na pia ibada timilifu, ya kukutolea wewe ee Mungu wetu

Mashairi:

  1. Tunakutolea mkate na divai, kazi ya mikono yetu wanadamu, twakuomba ee Baba uvipokee.
     
  2. Tunakutolea pia na fedha zetu pia na mazao ya mashamba yetu, twakuomba ee Baba uyapokee.
     
  3. Tunakutolea nazo nafsi zetu kwa unyenyekevu na kwa moyo safi, twakuomba ee Baba uzipokee. 

Maoni - Toa Maoni

Anno mchami Dec 21, 2022
Pongezi

Oliva Margwe Jun 06, 2022
Nzuri sana

karoli chilemba Apr 08, 2018
safi

Fredrick Gitonga Mar 29, 2017
pongeza

FELICHIZMI KAVISHE Jun 23, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu,nashauri mweka nyimbo kamili na siyo nota tu.

Toa Maoni yako hapa