Mtunzi: Martias Benard Babu
> Tazama Nyimbo nyingine za Martias Benard Babu
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,002 | Umetazamwa mara 5,022
Download Nota Download MidiEe Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki x 2, Kwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako x 2.
Mashairi:
1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma yako.
2. Ee Bwana utuokoe kwa kadri ya maajabu yako na kulitukuza jina lako.