Mtunzi: S. D. Masanja
> Tazama Nyimbo nyingine za S. D. Masanja
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Ludovick Michael
Umepakuliwa mara 1,044 | Umetazamwa mara 3,336
Download Nota Download Midi(Ee bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki) *2
(Kwa kuwa sisi tumetenda dhambi tumetenda dhambi kwa kuwa tumetenda dhambi sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako) *2
1. Tumekosa Bwana tumezichafua nafsi zetu, akili zetu hazifikirii tena mambo ya mbinguni (kila siku tuko bize na maisha yetu)*2
2. Tumekosa mungu twaomba msamaha wako Bwana, kama ni wizi tumeiba sana, ubakaji, utoaji mimba (na madawa ya kulevya nayotumevuta)*2
3. Mataifa makibwa yanazilazimisha nchi yanatumia utajiri wao kuzilazimisha nchi masikini zifanye uchafu wote japo hazitaki Mungu baba tumekosa utuhurumie