Mtunzi: S. D. Masanja
> Tazama Nyimbo nyingine za S. D. Masanja
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Ludovick Michael
Umepakuliwa mara 2,868 | Umetazamwa mara 5,785
Download Nota Download Midi(Amefufuka Bwana Mwokozi wa ulimwengu njoni wo te tufurahi, Bwana amefufuka. Amefufuka)*2
(Tuimbe tumshangilie mwana wa Mungu amejifufua leo mapema na tuimbe aleluya bwana amefufuka) *2
1. Tuimbe tushangilie tufurahi twimbe kwa shangwe kweli Bwana kafufuka kweli kweli mauti ameyashinda.
2. Ee Mungu umefungua mlango leo kwa njia ya mwanao tujalie nasi sote kufufuka katika nuru ya Kristu.
3. Hakika ukombozi wetu leo umetimia kufufuka kwake Kristu tumekombolewa na kuvikwa utukufu wake.
4. Tuimbe nyimbo za kumsifu yesu Kristu yeye ni mshindi kweli, amemshinda mwovu Yule shetani na mitego yake yote.