Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 584 | Umetazamwa mara 2,653
Download NotaEe Moyo wako Mama: Moyo wako wenye mapendo x2 Moyo wenye huruma: Tunauheshimu moyowe, Mama wa Mkombozi, Moyo wako ewe Bikira, ni moyo ulio mwema. Maria Mama yetu twausifu, Moyo wako wa mapendo. Daima ee Bikira twausifu, Moyo wako wa huruma. Tunauheshimu moyowe, Mama wa Mkombozi.
1. Ni moyo mvumilivu, ni moyo mnyenyekevu, ni moyo wa huruma, ni moyo wa mapendo.
2. Moyo wako ee Mama, moyo wako msafi, ni moyo u mweupe, moyo usio na doa.
3. Moyo wako ee Mama, ni moyo wa utii, uliitika wito, kumzaa Mwokozi.