Ingia / Jisajili

Ee Mungu Ngao Yetu (Ii)

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 39

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ee Mungu ngao yetu, uangalie umtazame uso, umtazame uso Kristo wako. 1.Hakika siku moja katika nyua zako ni Bora kuliko siku elfu. 2.Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, kuliko kukaa katika hema za uovu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa