Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: SEKWAO LRN
Umepakuliwa mara 473 | Umetazamwa mara 1,520
Download Nota Download MidiEe Mungu nimekuita mimi nimekuita (Bwana 3&4) kwa maana (1,2,4) maana utaitika. ×2
Shairi
1. Utegee ukulele wangu usikie neno langu, usikie neno langu neno langu
2.Ee Bwana unilinde kama mboni ya Jicho langu, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zake.