Mtunzi: Lucien Vugiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucien Vugiro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,013 | Umetazamwa mara 4,101
Download Nota Download MidiEe Mungu nimekuita kwa maana utaitika utege sikio lako unijibu x2:
Mashairi:
1. Ee Mungu unilinde kama mboni ya jicho unifiche chini ya mbawa zako.
2. Wasinione wale wasio haki adui wanao nizunguka.