Mtunzi: Lucien Vugiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucien Vugiro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,035 | Umetazamwa mara 2,628
Download Nota Download MidiMungu Ametuchagua tumwimbie kwa matendo yetu yote na moyo mwema, Mungu ametuchagua x2:
Mashairi:
1. Tumshukuru Mungu Baba aliyetuchagua tumwimbie
2. Ametujalia afya aliyetuchagua tumwimbie
3. Tuufikie uzee tukiwa kwa pamoja tunaomba.
4. Mwisho tufike mbinguni tukiwa kwa pamoja tunaomba