Ingia / Jisajili

EE MUNGU NITAKUTAFUTA

Mtunzi: GREGORY MALLYA ( MAFOO)
> Mfahamu Zaidi GREGORY MALLYA ( MAFOO)
> Tazama Nyimbo nyingine za GREGORY MALLYA ( MAFOO)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: GREGORY MALLYA PETER

Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 602

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio EE MUNGU NITAKUTAFUTA Ee Mungu wangu (Mungu wangu) nitakutafuta (mapema) nitakutafuta (Bwana) nitakutafuta) x2, na-fsi yangu inakuonea (Bwana) inakuonea inakuonea kiu x2 1a) Mwili wangu wakuonea shauku b)katika nchi kame na uchovu--------isiyona maji. 2a)Bwana ndivyo nilivyo kutazama patakatifu b)nizione nguvu zako na utukufu wako ----------utukufu wako. 3a) Bwana wewe umekuwa msaada wangu b)uvulini mwa mbawambawa zako------------nitashangilia. 4a)Nafsi yangu inakuandama sana b)mkono wako wakuume wakuume-------------unanitegemeza

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa