Ingia / Jisajili

TUKAMPOKEE BWANA YESU

Mtunzi: GREGORY MALLYA ( MAFOO)
> Mfahamu Zaidi GREGORY MALLYA ( MAFOO)
> Tazama Nyimbo nyingine za GREGORY MALLYA ( MAFOO)

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: GREGORY MALLYA PETER

Umepakuliwa mara 242 | Umetazamwa mara 750

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kitikio Tukampokee Bwana Yesu kwa mwili na damu yake (njoni) tukampokee Bwan Yesu tupate uzima, wale wenye moyo safi Bwana anatualika twende(njoni) tukampokee Bwana Yesu tupate uzima. Mashairi 1a) Mwili na damu yake (Kweli) kwetu ni chakula b)amejitoa kwetu(kweli) tule mwili wake. 2a)Mkate wa uzima (kweli) kutoka Mbinguni b)Ee Yesu umeshuka (kweli) kutoka Mbinguni 3a)Anaekula mwili (kweli) nakuinywa damu b) anapata uzima (tele) tena wake Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa