Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 624 | Umetazamwa mara 1,421
Download Nota Download MidiEe Mungu mwenyezi tunaomba tussaidie twakusihi Bwana tuepushe dhidi ya corona
watu wako Ee Bwana Mungu twaomba tuhurumie
1. janga corona latesa watu amani imetoweka
2.tunakuomba wasaidie wagonjwa wote wa corona
3.tunakuomba watie nguvu viongozi wasikate tamaa