Ingia / Jisajili

Ee Mungu Uniokoe

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 514 | Umetazamwa mara 1,719

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE MUNGU UNIOKOE EE BWANA UNISAIDIE Hi-i max2(ndiwe msaada wangu (Ee e mungu ) na MWOKOZI wangu(kweli )Ee Bwana usikawie kunisaidia X2(1)was a bike wafedheheke wanaoitafuta nafsi yangu warudishwe nyuma watayalishwe wapendezwao na Shari yangu.(2)Nami masikini na muitaji Ee MUNGU wangu unijilie kwa haraka ndiwe msa ada wangu na MWOKOZI wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa