Maneno ya wimbo
ENYI WAPENDWA JOSEPH.NA ELIZABETH (HONGERENI.MUNGU AMEWACHAGUA UWE MWILI MMOJA.HONA MNAVYO PENDEZA MNAMELEMENTA (HONGELENI ) MUNGU AMEWACHAGUA MUWE MWILI.MMOJA. PENDA NENI PENDANENI ENYI WAPENDWA (SIKUZOTE FURAHA YA NDOA YENI
NIUPENDO WENU.LEO MMEFUNGA PINGU ZA_MASHA (HONGERENI MSIKUBARI SHETANI HAWE KAtIKATI YENU..Fine... .. ..(1).Katika maisha yenu mtanguluzeni Bwana.awengao yenu.sikyzote.zamaisha yenu.(2).Enyi wapendwa Bwana harusi na bibi harusi twawaombea maisha mema yenye ba-raka.(3) Ombaneni msamaha palemkikwazana mungu hawe katikati.yenu Kwa Upendo wenu..(4) Mungu baba awalinde Bwana na.bibi harusi.awalinde.katika shida pia namagonjwa..(5) Mwombeni mungu awasaidie.kila jambo katika pilika za maisha yenu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu