Ingia / Jisajili

Ee Mungu Uniokoe.

Mtunzi: James Mnazi
> Mfahamu Zaidi James Mnazi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Mnazi

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: James Mnazi

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 433

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu uniokoe, Ee Bwana unisaidie hima. 1. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Bwana usikawie. 2. Waaibike wafedheheke wanaoitafuta nafsi yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa