Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti

Mtunzi: James Mnazi
> Mfahamu Zaidi James Mnazi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Mnazi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: James Mnazi

Umepakuliwa mara 125 | Umetazamwa mara 148

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Huribiri hubirini kwa sauti ya kuimba tangazeni haya yatamkeni, tangazeni haya mpaka mwisho wa dunia. 1.Bwana amewakomboa watu wake, Bwana amewakomboa watu wake aleluya. 2.Mpigieni kelele za shangwe imbeni utukufu utukufu wa jina lake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa