Ingia / Jisajili

EE MUNGU UTURUDISHE

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 830 | Umetazamwa mara 1,929

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Ee Mungu uturudishe ee Mungu(Mungu) ee Mungu uturudishe ee Mungu, uangazishe uso wako nasi tutaokoka, uangazishe uso wako nasi tutaokoka. 1.Wewe uchungaye Israeli usikie, wewe uketiye juu ya makerubi utoe nuru, uziamshe nguvu zako uje utuokoe. 2.Mungu wa majeshi tunakusihi urudi, utazame toka juu uje uujilie mzabibu na mche ule Bwana ulioupanda. 3.Mkono wako na uwe juu yake, juu ya mwanadamu uliye mfanya kuwa imara, utuhuishe nasi tutaliita jina lako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa