Ingia / Jisajili

Ee Mungu Wangu

Mtunzi: Marcus Mtinga
> Mfahamu Zaidi Marcus Mtinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Marcus Mtinga

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 2,793 | Umetazamwa mara 8,730

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Pius Phinias Nov 16, 2021
Tumsifu Yesu Kristo. Ninashukuru sana kwa kuwa na Maktaba hii ya kidigitali yenye kuhifadhi muziki Mtakatifu . Hongereni kwa waanzilishi na waendesha Maktaba hi. Changamoto kubwa inayojitokeza ni kwa wale wanaochora nota za wimbo flani. Mara kadhaa kunakuwa na makosa ya kiutaalamu ukilinganisha na muziki halisi wa mtunzi. Inafika mahala wimbo hauwezi imbika kwa sababu ya makosa ya uchoraji wa nota. Hata hivo panapotokea marekebisho ya mziki wa mtunzi flani, ni vema ikaonyeshwa kwamba Kuna marekebisho na sababu za marekebisho hayo. Daima tumwimbie Bwana.....!!!!

Toa Maoni yako hapa