Ingia / Jisajili

Ninasema

Mtunzi: Marcus Mtinga
> Mfahamu Zaidi Marcus Mtinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Marcus Mtinga

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 715 | Umetazamwa mara 1,562

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Marcus Mtinga Dec 04, 2018
Huu wimbo kwa kweli sijauhakiki. Una makosa mengi hasa kwenye mabeti na ni makosa ambayo siamini kama yangeweza kupita bila kuyaona. Itakuwa vema kama utaondolewa ukisubiri nakala halisi. Asante

Furaha Mbughi Sep 28, 2017
Wimbo mzuri sana! Pongezi sana kwa mtunzi. Maoni. Kwenye mashairi nahisi aliyechapa hajapanga vizuri maneno. Hasa shairi la 2 na la tatu. Ahakiki kwa mtunzi, maadam mtunzi yupo.

Toa Maoni yako hapa