Mtunzi: Kam's Swana
> Mfahamu Zaidi Kam's Swana
> Tazama Nyimbo nyingine za Kam's Swana
Makundi Nyimbo: Misa | Mwanzo | Tenzi za Kiswahili | Zaburi
Umepakiwa na: Kam's Swana
Umepakuliwa mara 494 | Umetazamwa mara 1,771
Download NotaK/ Ee Mungu wangu Mfalme, nitasifu jina lako daima na milele
1. 1. Nitakutukuza ewe Mungu wangu Mfalme, nitasifu jina
lako daima na milele
2. 2.. Kila siku nataka kukusifu, na kutukuza jina lako daima
na milele