Ingia / Jisajili

Mnyonge Alilia

Mtunzi: Kam's Swana
> Mfahamu Zaidi Kam's Swana
> Tazama Nyimbo nyingine za Kam's Swana

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Tenzi za Kiswahili | Zaburi

Umepakiwa na: Kam's Swana

Umepakuliwa mara 592 | Umetazamwa mara 1,494

Download Nota
Maneno ya wimbo


K/ Mnyonge  alilia naye  Bwana, Mnyonge  alilia naye  Bwana, naye  Bwana akamsikiliza


Mashairi

1.  Nita mtukuza  Bwana kila wakati, sifa yake kinyani mwangu siku zote

2.  Roho yangu  ijisifu katika Bwana ,  wanyonge wasikie na kufurahi .

           


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa