Ingia / Jisajili

Ee Mungu wangu Mfalme

Mtunzi: Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Mfahamu Zaidi Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Tazama Nyimbo nyingine za Christian Benedict Nkonya (Chribenko)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 61 | Umetazamwa mara 374

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu wangu mfalme, nitalitukuza jina lako milele, nitalitukuza jina lako melele x2.

1:Ee Mungu wangu mfalme nitakutukuza, nitalihimidi jina lako milele.

2:Bwana ni mwema ni mwema kwa watu wote, na rehema zi juu ya viumbe vyote.

3:Bwana viumbe vyote vitakutukuza, na wacha Mungu wako watakuhimidi.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa