Mtunzi: Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Mfahamu Zaidi Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Tazama Nyimbo nyingine za Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 304 | Umetazamwa mara 1,476
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka C
(Ee Bwana niamkapo) nishibishwe nishibishwe kwa sura yako (Ee Bwana) nishibishwe nishibishwe kwa sura yako x2.
1:Ee Bwana usikie haki, usikilize kilio changu, utege sikio kwa maombi yangu.
2:Nyayo zangu zimeshikamana, zimeshikama na njia zako, hatua zangu hazikuondoshwa.
3:Ee Mungu nimekuita, nimekuita umeitika, utege sikio lako unisikie.