Ingia / Jisajili

Ee Nafsi Yangu Umhimidi Bwana

Mtunzi: Didace Mlolwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Didace Mlolwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 201 | Umetazamwa mara 362

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana wewe Bwana Mungu wangu umejifanya mkuu sana umejivika heshima na adhama X2

1. Umejivika nuru kama vazj umezitandaza mbingu kama pazia na kuziweka nguzo za orofa nguzo za orofa zake majini

2. Huwafanya malaika zake huwafanya kuwa pepo na watumishi watumishi wake huwafanya kuwa moto wa miali

3. Ee Bwana jinsi yalivyo mengi yalivyo mengi matendo yako kwa hekima umevifanya vyote dunia imejaa mali zako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa