Ingia / Jisajili

Lala Kitoto Cha Mbingu

Mtunzi: Didace Mlolwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Didace Mlolwa

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 7,614 | Umetazamwa mara 13,578

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

John Didas Mlolwa Feb 15, 2019
Napongeza kazi ya kuhifadhi notes hizi..nimefurahi kuona uwepo wa majina ya watunzi ..Mimi naitwa John Didas Mlolwa nimeshituka kuona jina la aliyetunga nota hizo kufanana na jina la mzazi wangu ambaye nimepoteana nae kwa miaka mingi sasa...imekuwa ni faraja kuona jina lake hapo na nimekuwa nahisia za kuhisi uwepo wake kwangu...Hongera sana

Toa Maoni yako hapa