Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 3,998 | Umetazamwa mara 9,826
Download Nota Download MidiEe Yesu wangu nakutamani uje rohoni mwangu x2
Sema neno moja, sema neno moja, sema neno moja na roho yangu itapona
1. Mi sistahili utingi rohoni mwangu, we sema neno moja uniponye
2. Ee Yesu mwema uitakase roho yangu unipokee kwa huruma yako
3. Yesu mwokozi wewe ni chakula cha kweli unishibishe kwa hicho chakula
4. Wewe ni mwamba na ngome ya maisha yangu we jemedari wa maisha yangu