Mtunzi: Derick Nducha
                     
 > Mfahamu Zaidi Derick Nducha                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha                 
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 490 | Umetazamwa mara 1,616
Download Nota Download MidiEe Yesu wangu unilishe mwili Na kuninywesha damu yako nipate uzima wa milele.×2
1.Mwili wake Yesu ni chakula chenye kushibisha roho yangu.
2.Damu yake Yesu ni kinywaji chenye kuyafuta makosa yangu.
3.Maumbo haya ya mkate Na divai ndiye Bwana Yesu Kristo.