Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 423 | Umetazamwa mara 2,158
Download Nota Download MidiLeo ni shangwe
Leo ni shangwe kubwa tufurahi site mwokozi Yesu amefufuka.×2
Mashairi
1.Naye amefufuka kama alivyosema, twendeni tukamwone.
2.Kafufuka Mwokozi tuimbe Aleluya, Aleluya shangwe Leo.
3.Vigeregere vya furaha tu muimbie, Yesu Kristo tumwimbie.