Mtunzi: Samwel Kiliga
> Mfahamu Zaidi Samwel Kiliga
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Kiliga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Samwel Kiliga
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiEkaristi Takatifu ni mwili na damu yake Yesu Kristo(Chini)chini ya maumbo ya mkate na divai{(Pia) ni karamu ya kweli chakula bora cha uzima wetu twaalikwa sote twende hima kushirikiX2)