Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 21,474 | Umetazamwa mara 31,676
Download Nota Download MidiEkaristia ni chakula chakula cha uzima wa milele Ee Mkate wa mbingu shibisha roho zetu x2
1. Yesu mwokozi kashuka chini kwetu tukampokee
2. Maumbo haya ni mwili wake Yesu twakiri sote
3. Yesu mwokozi pokea roho yangu nami ni wako
4. Ninakupenda kuliko nafsi yangu mwokozi wangu