Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,670 | Umetazamwa mara 6,583
Download Nota Download MidiEe Bwana Sistahili uingie kwangu lakini sema neno moja na Roho yangu Itapona x 2.
Mashairi:
1. Naomba Unitakase Unishibishe,
Chakula bora cha Roho yangu,
Na Roho yangu Itapona.
2. Ee Bwana naitamani amani yako,
Ninakuomba Unipe Njia,
Na Roho yangu Itapona.
3.Nimekuwa mnyonge kwa ukosefu wangu,
Nakuja kwako unisamehe,
Ee Yesu wangu uniponye.
4. Nitimizie mapenzi yako,
Ninakuomba unibariki,
Nipate heri ya Milele.