Ingia / Jisajili

Enendeni Duniani Kote

Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Mafundisho / Tafakari | Miito | Ubatizo

Umepakiwa na: KULWA GEORGE

Umepakuliwa mara 309 | Umetazamwa mara 1,600

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enendeni duniani (kote) mkawafanye (ma)taifa kuwa wanafunzi wangu, na kuwa wanafunzi wangu x2 Na tazama mimi nipo (mimi) nipo pamoja nanyi, mimi nipo pamoja nanyi (pamoja) nanyi siku zote. x2 1. Nimepewa mamlaka yote duniani na mbinguni, basi enendeni mkafundishe wanafunzi wangu 2. Na mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho, Roho Mtakatifu. 3. Mkaihubiri' Injili ile niliowaamuru ninyi, basi enendeni mkaihubiri kwa viumbe wote. 4. Enendeni mkawaponye wote kwa matendo ya huruma, myaguse majeraha yao kwa upendo mkuu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa