Ingia / Jisajili

Enendeni Mkahubiri

Mtunzi: Erick Nyaga (Prince)
> Mfahamu Zaidi Erick Nyaga (Prince)
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Nyaga (Prince)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Matawi | Miito | Misa | Watakatifu

Umepakiwa na: Erick Nyaga (Prince)

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 24

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enendeni ulimwenguni mkahubiri,waambieni watu wote maneno haya. "njoni kwangu nyinyi nyote mlemewao na mizigo mizito niwapumzishe.Jitieni nira yangu jifunzeni kwangu,yote kwangu mepesi" asema Bwana. 1.Aliyatuliza mawimbi katika bahari,wanafunzi,wake walipomwita, kwa huruma akawaokoa. 2.Yule mama mwenye tatizo la kutokwa na damu,kauguza, upindo wa vazi la Yesu, na kwa Imani akamponya. 3.Alimfufua Lazaro toka kaburini,nguvu zake, huyu Yesu ni za ajabu,kweli zinashida hata mauti. 4.Magumu unayopitia yalete kwa Bwana, Mungu wako, kwa imani katika Sala,yeye mwenye nguvu aweza yote.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa