Ingia / Jisajili

Enendeni Mkawafanye Mataifa Yote

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Miito | Kupaa kwa Bwana | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 370 | Umetazamwa mara 1,431

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza na kuwafundisha kuyashika yote (niliyowaamuru) niliyowaamuru ninyi asema Bwana X2

1. Yesu akasema nao akawaambia nimepewa mamlaka nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani

2. Enendeni mkawafanye kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu

3. Na tazama mimi nipo nipo pamoja nanyi siku zote siku zote hata ukamilifu wa dahari

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa