Ingia / Jisajili

Huu Ndio Mwili Wangu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,035 | Umetazamwa mara 2,897

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu asema Bwana X2

  1. Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
  2. Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu fanyeni hivi kila mnywapo kwa ukumbusho wangu.
  3. Kila mlapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa