Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,473 | Umetazamwa mara 3,506
Download Nota Download MidiEnendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili x 2.
Mashairi:
1. Enyi mataifa yote msifuni Bwana, enyi watu wote mhimidini.
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu na uaminifu wa Bwana ni wa milele.