Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,010 | Umetazamwa mara 3,878
Download Nota Download MidiTazameni huyu ndiye mwanakondoo ndiye mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za dunia x2
Heri yao wale walioalikwa kwenye karamu kwenye karamu ya mwanakondoo x2
1. a) Mwili wa Bwana ni chakula cha uzima tulinde tupate uzima wa milele
b) Damu ya Bwana ni kinywaji cha roho itulinde tupate….
2. a) Mkate ninaoutoa mimi ni mwili wangu itulinde tupate uzima wa milele
b) Divai ninayoitoa ninyoitoa ni damu yangu itulinde…
3. a) Usafishe moyo wako karibu kwangu ili upate uzima uzima wa milele
b) Iliuchote neema na Baraka tele ili upate….