Mtunzi: EDWIN J.Rugwiza
> Mfahamu Zaidi EDWIN J.Rugwiza
> Tazama Nyimbo nyingine za EDWIN J.Rugwiza
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Edwin Rugwiza
Umepakuliwa mara 71 | Umetazamwa mara 104
Download NotaEnyi watu wa Galilaya Mbona mmesimama mkitazama mbinguni,Yesu atakuja jinsi hiyo hiyo mlivyo mwona akienda zake Mbinguni aleluya.
MASHAIRI
1.Mpigieni Mungu kelele za shangwe,kwa kuwa Bwana ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
2.Mwimbieni Mungu mwimbieni nchi yote,kwa kuwa yeye ndiye mfalme mkuu mwenye kuogofya sana.