Mtunzi: EDWIN J.Rugwiza
> Mfahamu Zaidi EDWIN J.Rugwiza
> Tazama Nyimbo nyingine za EDWIN J.Rugwiza
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Edwin Rugwiza
Umepakuliwa mara 51 | Umetazamwa mara 79
Download NotaFurahini(katika Bwana) furahini(katika Bwana) Tena nasema furahini Bwana yu karibu.
1.waisrael waambiwa wafurahi kwani Bwana aja,kuwakomboa toka utumwani na taabuni
2.Nasi tufurahi kwasababu mkombozi atakapofika taabu zote zitageuka kuwa heri na furaha