Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye
Umepakuliwa mara 1,239 | Umetazamwa mara 3,275
Download NotaEnyi watu wa Sayuni, tazameni Bwana atakuja kuwaokoa mataifa Bwana atawasikizisha sauti yake ya utukufu katika furaha ya mioyo yenu x 2.