Ingia / Jisajili

Enyi Watu

Mtunzi: Mwesswa matenda dieudonne
> Mfahamu Zaidi Mwesswa matenda dieudonne
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwesswa matenda dieudonne

Makundi Nyimbo: Anthem | Juma Kuu | Mafundisho / Tafakari | Misa | Tenzi za Kiswahili | Zaburi

Umepakiwa na: Mwesswa matenda Dieudonne

Umepakuliwa mara 103 | Umetazamwa mara 626

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa kabila zote, Sifu bwana kwani Ndiye mwema*2 1 Litukuzeni jina lake Tangazeni uku wa bwana 2 Wema wake ndio wa milele Shukuruni Mungu mwenyezi 3 Mwimbieni bwana wimbo mupya Aleluya , mpaka milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa