Mtunzi: Mwesswa matenda dieudonne
> Mfahamu Zaidi Mwesswa matenda dieudonne
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwesswa matenda dieudonne
Makundi Nyimbo: Anthem | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Majilio | Miito
Umepakiwa na: Mwesswa matenda Dieudonne
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 7
Download NotaSIYO ULIMWENGU HUU
1. siyo yoyoyoho, ulimwengu huu, ulio niweka huru,
ila kwa damu yake mwokozi ndiyo maana nipo huru.
R). ndio maana na imba , ndio maana na sifu,
ndio maana na imba , ndio maana na sifu
2) Siyo yoyoyoho , wafalme wakuu , walio niweka huru,
ila kwa damu , yake mwokozi, ndio maana nipo huru
3) siyo yoyoyoho , akili yangu hu , iliyo niweka huru ,
ila kwa damu ,yake mwokozi ndio maana nipo huru